Waziri wa jumuiya ya afrika mashariki amesema wamepokea maombi Somalia kutaka kujiunga na jumuiya hiyo.

 
 
Waziri wa jumuiya ya afrika mashariki mh Dk Harrson Mwakyembe na ambaye mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa jumuiya  hiyohiyo amesema wamepokea maombi ya nchi ya somalia kutaka kujiunga na jumuiya hiyo na hivyo kwa sasa wapo katika hatua za kuona kama wanasifa za kujiunga na jumuiya hiyo.

Mh Mwakyembe ameyasema hayo alipkuwa akizungumza na waandishia wa habari kuhusu sughuli mbalimbali za jumuiya hiyo na nafasi aliyopita rais Jakaya Kikwete kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo.

0 comments: