Rais Kikwete amkabidhi H.H The Aga Khan hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiagana na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana
baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es
salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia
duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo
Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongeqa kwa furaha na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.








0 comments: